Work from home.






Kuwepo kwako nyumbani kwa kipindi hiki cha mlipuko wa COVID19, Hakuchangii chochote katika matokeo yako ya mbeleni.

Bali kile unachofanya ukiwa nyumbani, katika kipindi hiki, ndo kitaamua uwe nani siku zijazo baada ya mlipuko.

Tengeneza kesho yako kwa kipindi hiki ambacho upo nyumbani, work from home, tafuta fursa ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako, na ukazidi kuongeza kipato.

#Rodgers Adr


Comments