NAIROBI FLY au NARROW BEE FLY??
Jibu lenye utata,
Tafadhari, chukua muda kusoma hii, utasaidia wengi.
Ni miaka mingi zaidi ya 10+ tumezoea kuona au kusikia jina "Nairobi fly" kama mdudu mwenye rangi nyekundu na nteusi, ambaye anapatikana wakati wa masika au mvua za vuli, na kusababisha madhara makubwa kwa ngozi ya mtu.
Katika kipindi hiki cha technolojia, mdudu huyu ameanza kujulikana kama Narrow bee fly nasio tena Nairobi fly. Na hii imekuja baada ya watu kuanza kusambaza posti katika mitandao ya kijamii ikisema "Ulikuwa na miaka mingapi ulipojua kuwa huyu mdudu anaitwa Narrow bee fly na sio Nairobi fly?"
Na nyingine ikisema..
"Ichi kidude kumbe kinaitwa Narrow bee fly mimi nilijua Nairobi fly😀😀😀😀😀😀😀😀 ila najua tupo wengi".
Mimi Rodgers, katika hili sina neno.
Badala yake nakuletea tafitifi nlizokuja nazo na kukuletea jibu lenye uhakika.
No research, no right to talk.
No reference, no right to say.
Tafadhali jaribu fuatilia hadi had👇hadsho.
Na usisahau kubonyeza kwenye link kwa ajili ya maelezo zaidi👇.
1. Katika Chapisho la Royal Army Medical College la mwaka 1993, linamtaja mdudu huyu kama Nairobi fly.
https://militaryhealth.bmj.com/content/jramc/139/1/17.full.pdf
2. Mwaka 1998 katika chapisho la Hospitali ya KCMC, mdudu huyu ametajwa kama Nairobi Fly
https://www.nature.com/articles/eye1998223
3. Mwaka 1998 katika chapisho la CNN, mdudu huyu alitajwa kama Nairobi fly "Nairobi fly doesn't sting or bite, but it sure does hurt"
https://web.archive.org/web/20070128130446/http://edition.cnn.com/EARTH/9801/26/kenya.beetle.ap/index.html
4. Mwaka 2002, chapisho liliandikwa na Mamoun Al-Basheer juu ya mlipuko wa hawa wadudu nchini Elitre, alitajwa kama Nairobi fly "This beetle known in East Africa as Nairobi fly, does not bit or sting,..."
https://pdfs.semanticscholar.org/6554/9763cf041ee394e6617d84692cb5c563ceb3.pdf
5. Bado tunaendelea na reference, katika kutafuta refence, nikakutana na kitabu cha magonjwa ya ngozi kinaitwa Dermatology, Volume 2 kimeandikwa na Jean L Bolognia, Joseph L Jorizzo na Ronald P Rapin. Kimemtaja mdudu huyu kama Nairobi fly
https://isbnsearch.org/isbn/9781416029991
6. Bado tunaendelea, katika tafiti nyingine iliyofanyika mwaka 2005 katika chuo kikuu cha Cambridge, juu ya madhara ya El niño Afrika mashariki, mdudu huyu ametajwa kama Nairobi fly
https://miami.pure.elsevier.com/en/publications/el-ni%C3%B1o-causes-dramatic-outbreak-of-paederus-dermatitis-in-east-a
7. Jarida la South Africa Medical Journal, limemtaja mdudu huyu kama Nairobi fly.
https://www.ajol.info/index.php/samj/article/view/69775/57842
Hizo ni baadhi ya reference, zinazomtaja huyu mdudu kama Nairobi Fly, na katika zoote sijapata Refence ya kueleweka inayozungumzia Narrow bee fly zaidi ya post za watu, mfano: https://www.google.com/amp/s/www.tuko.co.ke/amp/266093-sos-narrow-bee-fly-bite-treatments.html
Ambapo mwandishi amejaribu kutoa ufafanuzi zaidi juu ya jina kamili la huyu mdudu.
Ukijaribu kutafuta zaidi katika kijivinjari cha mwanafunzi (website) scholar.google.com,
https://scholar.google.com/scholar?start=10&q=nairobi+fly&hl=en&as_sdt=0,5
utagundua kuwa mifano mingi inazungumzia Nairobi fly.
Hivyo nadhani tumeona references mbalimbali, zinazozungumzia huyu mdudu katika jina lake halisi. Narudia tena huu usemi... "No reference No Right to say".
Hivyo jina sahihi la huyu mdudu ni Nairobi fly na wala sio Narrow bee fly.
Nairobi fly ni jina linalojulikana zaidi katika ukanda wa nchi za Afrika Mashariki, mdudu huyu kwa nchi za nje, hujulikana kama Rove beetle, spider-lick au whiplash Dermatitis..
Hivyo wakati mwingine, mtu akikwambia ati huyu ni Narrow bee fly, mwambie sio sahihi.
Ahsante kwa muda wako.
Usiache kutufuatilia kwa masomo zaidi juu ya afya.
By Rodgers Adr
April 2020

Comments
Post a Comment