Dakika 15 za Shukrani
Habari ya muda huu ndugu msomaji wa blog yetu, natumai leo haujambo na unaendelea vizuri na shughuli za kila siku ili kuyafikia mafanikio ambayo unatamani kuyafikia.
Katika kupambana, bila shaka kuna mtu nyuma yako aliyechangia kwa namna moja ama nyingine kukufikisha hapo ulipo.
Basi ebu leo chukua dakika 15 tu kuandika barua au ujumbe wa kutoa pongezi kwa watu ambao wamekusaidia kwa namna moja au nyingine ndani ya mwezi huu wa tano. Au watu ambao wamekuwa msaada kwako tangu mwaka huu umeanza mpaka sasa hivi.
UJUMBE: waambie tulianza mwaka salama, tutaumaliza salama.
HILI NALO LITAPITA.

Comments
Post a Comment