PATA USHAURI WA DAKTARI, KABLA YA KUTUMIA DAWA.

Usitumie Dawa bila ushauri wa Daktari.


​​​​​Afya inapoharibiwa kiasi kwamba ugonjwa ukatokea, mara nyingi mgonjwa anaweza kujifanyia kitu ambacho mtu mwingine hawezi kujifanyia.
 Kitu cha kwanza kufanya ni kujua ni ugonjwa gani na kisha tumia akili kujua namna ya kuutibu.
 Ikiwa mfumo wa mwili umeshindwa kufaya kazi kwa urari kwa sababu ya kufanya kazi kupita kiasi, kula kupita kiasi, au mambo mengine yasiyo na kiasi, usijaribu kutibu tatizo kwa kuongeza mzigo wa dawa zenye sumu.

Comments