MIMBA ZA UTOTONI (MIAKA 15 - 17) HUONGEZA HATARI YA KUPATA SHIDA AU MATATIZO YA AKILI KWA AKINA MAMA
Utafiti unaonesha ya kuwa waakina mama wawili (2) kati ya watu (3) wanaopata mimba na kujifungua katika umri wa miaka 15 - 17, wanakuwa katika hatari ya kupata magonjwa ya akili na 40% kati yao hupata shida ya namna hiyo zaidi ya moja.
Akina mama katika umri mdogo wanakuwa katika hatari ya zaidi ya 2 - 4 ya kupata shida za:-
i) Wasiwasi katika maisha (Generalized Anxiety Disorder)
ii) Separation Anxiety Disorder
iii) Social Phobia and Specific Phobia
iv) Attentiom-deficit / Hyperactivity Disorder
v) Opposition defiant disorder or Conduct disorder.
Hivyo! Waakina dada wanashauriwa kubeba mimba wakiwa na angalau umri wa miaka 18 na kwendelea, hii itasaidia kuepukana na shida au matatizo hayo.
Vilevile! Ikiwa kwenye ukoo wakokuna historia ya kupata magonjwa ya akili, unashauriwa kuepukana na vichochezi katika mazingira vitakavyoweza kukupelekea kupata kupata shida au matatizo ya akili.
#Rogers Adrian 0744925651
March 2021
Comments
Post a Comment