Posts

MPYA

  Chuchumaa Acha Kukaa Tu!   Kuchuchumaa  ni mkao wa asili ambao una faida nyingi kwa afya ya binadamu. Kabla ya uvumbuzi wa viti, makochi na masofa ya kifahari, watu waliishi kwa kupiga magoti, kuchuchumaa, kulala au kusimama mikao hii ilihusisha mwili mzima na kusaidia afya kwa ujumla.   Faida za Kuchuchumaa:  Huhusisha na kuimarisha misuli yote ya sehemu ya chini ya mwili.  Husaidia mzunguko mzuri wa damu na kurahisisha kazi ya moyo.  Husaidia mwili kutumia sukari na mafuta kwa ufanisi hupunguza hatari ya kisukari na mafuta mabaya mwilini. Huongeza kasi ya uchakataji wa chakula (metabolism).  Hupunguza uwezekano wa kupata maumivu ya mgongo, kiuno na matatizo ya mpangilio wa mgongo.   Madhara ya Kukaa Muda Mrefu: Kukaa muda mrefu kunachangia magonjwa sugu kama kisukari aina ya pili, matatizo ya moyo, na hata vifo vya mapema. Watu wanaokaa muda mrefu, hasa kazini, mara nyingi hupata maumivu ya mgongo na kiuno kutokana na mikao mibaya. Mfano ...

MADHARA YA KUKOSA HEDHI KWA MWANAMKE.

UGUMBA KWA MWANAMKE

MWANAUME IJUE HII SIRI, USIJEUMIA MBELENI

MADHARA YA MIMBA ZA UTOTONI

AMUA KUPAMBANA

PATA USHAURI WA DAKTARI, KABLA YA KUTUMIA DAWA.

Dakika 15 za Shukrani

MIMBA ZA UTOTONI HUTOKEA SANA KIPINDI HIKI

Nairobi Fly au Narrow bee fly? Jibu sahihi ndo hili

Work from home.

Tiba ya Ugonjwa wa Kisukari